Portada del podcast

One Step Within Podcast

  • investments-one step within podcast

    7 AGO. 2022 · kwenye hii podcast nimeweza kutoa elimu niliopata kuhusu investments(kuwekeza)kwenu ili kwa wale wasio na ufahamu juu ya kutumia pesa yao vizuri basi waweze kuifahamu na kuweza kufanya maamuzi yalio sahihi na pesa zenu.
    Escuchado 20m 53s
  • BRAKING A HABIT-one step within

    7 AGO. 2022 · Jifunze njia muhimu zitakazo kusaidia kuvunja tabia ambazo hazikusaidii kwenye maisha yako na kuweza kujenga tabia ambazo zitakua na msaada kwako
    Escuchado 11m 37s
  • entities

    7 AGO. 2022 · jifunze nini maana ya entities ili uweze kumiliki na kutumia hizo entities kwenye biashara yako kujilinda na balaa za hapa na pale kwenye kuendesha biashara
    Escuchado 14m 49s
  • social pressure-one steep within

    7 AGO. 2022 · watu wanao kuzunguka wana influence kubwa juu ya mmaisha yako ya kila siku hasa marafiki zako wa karibu.jifunze na kujua nguvu za marafiki zako na watu wanao kuzunguka kwenye hii episode
    Escuchado 14m 53s
  • uvumilivu

    7 AGO. 2022 · watu wengi wameshindwa kusubiri juu ya vitu walivyo tamani juu ya maisha yao na kupelekea kukata tamaa kwa sababu kubwa tu ya kushindwa kusubiri
    Escuchado 6m 36s
  • intro

    7 AGO. 2022
    Escuchado 42s
  • private or public

    7 AGO. 2022 · jambo ambalo lili wafanya wafanya biashara wengi kuweza kukaa chini na kufikiria kwenye kufanya maamuzi kati ya kuipeleka biashara yao public au kuibakisha tu kua private.kwenye hii episode utaweza kuelewa tofauti kati ya hayo maneno
    Escuchado 9m 35s
  • msimamo-one step within podcast

    7 AGO. 2022 · msimamo ni swala ambalo watu wengi limekua shida ila kwenye podcast ya leo utajifunza mabo muhimu kuhusu msimamo ili uweze kusimama na kile unacho kiamini bila ya kuyumbishwa
    Escuchado 14m 55s
  • elimu-one step within podcast

    7 AGO. 2022 · pata kuweza kujua ipi ni elimu ya kujifunza na ipi itaweza kukufaa kwenye safari nzima ya maisha yako
    Escuchado 12m 30s
  • cashflow

    7 AGO. 2022 · Jua namna ya kutumia pesa ili iweze kukufanyia kazi wewe badala ya wewe kuifanyia kazi
    Escuchado 8m 42s

jifunze kila kitu unachohitaji kujua kuhusu maisha,biashara na self-devolopment sehemu moja,nikieleza kila hatua ninayo jifunza na kutoa kila elimu nilionayo kwenu ili wote tuweze kufika pale wote ambapo tunahitaji kufika

mostra más
jifunze kila kitu unachohitaji kujua kuhusu maisha,biashara na self-devolopment sehemu moja,nikieleza kila hatua ninayo jifunza na kutoa kila elimu nilionayo kwenu ili wote tuweze kufika pale wote ambapo tunahitaji kufika
mostra menos
Contactos
Información

Parece que no tienes ningún episodio activo

Echa un ojo al catálogo de Spreaker para descubrir nuevos contenidos.

Actual

Portada del podcast

Parece que no tienes ningún episodio en cola

Echa un ojo al catálogo de Spreaker para descubrir nuevos contenidos.

Siguiente

Portada del episodio Portada del episodio

Cuánto silencio hay aquí...

¡Es hora de descubrir nuevos episodios!

Descubre
Tu librería
Busca